K Kuvanda
πŸ“š Miongozo ya Kidijitali kwa Wanafunzi wa Vyuo

Nunua Miongozo ya Chuo,
Sambaza Fursa, Vuna Kipato

Kuvanda Chuo Pack ni miongozo ya hatua kwa hatua ya Freelancing na Kazi za Smartphone β€” imeandikwa kwa mwanafunzi wa Tanzania anayetaka kipato cha ziada.

TZS 10,000 β€” malipo ya mara moja
Jisajili & Pata Chuo Pack

Ndani ya Chuo Pack

Jinsi inavyofanya kazi

1

Jisajili

Fungua akaunti kwa barua pepe na nenosiri.

2

Lipia kwa simu

M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au HaloPesa. Utapokea ombi la PIN kwenye simu.

3

Soma papo hapo

Miongozo yote inafunguka kwenye dashibodi yako mara malipo yanapothibitishwa.

Uwazi wa bei na ushirika

Ukimwalika mwanafunzi mwenzako na akanunua Chuo Pack, unapata TZS 3,000 (asilimia 30) papo hapo. Kuvanda inabaki na TZS 7,000 kugharamia seva na kusasisha maudhui. Ushirika ni wa ngazi moja tu β€” hakuna kamisheni kwa "watu wa watu".

Kuvanda Admin β€” Ombi za Kutoa Pesa